MASWA DEVELOPMENT COMMUNITY

Thursday, September 10, 2009

MSIMU WA PAMBA MASWA

Msimu wa pamba  sasa umeingia... Kipindi hiki nikipindi cha kujipatia mafao kutoka kwa kazi ya kilimo. Je, kipato kinachopatikana kinaweza kutukomboa kiuchumi? Bila shala nijambo linalowezekana.

Wednesday, September 2, 2009

Hospitali Ya Maswa Kimbilio la Wakazi toka Meatu.

Ninakumbuka miaka ya 1990....baada ya kuangukia kwenye majembe ya kukokota na ng'ombe.. ajali iliyosababisha nikatike ulimi..lakini hospitali hii ya Maswa ndiyo iliyofanya niwe na uwezo wa kuongea tena, pia kuonja vitu vitamu.

Leo nimefarijika sana kuona kuwa hospitali ya Maswa nikimbilio la wakaazi wa wilayani Meatu...

Sababu zilizo elezewa kuwa zina fanya hilo litokee ni kutokana na ukweli kuwa huduma za hospitali hii ni nzuri ukilinganisha na zile za Hospitali ya Meatu.

Monday, August 31, 2009

The Beauty of Maswa Game Reserve

 Hifadhi ya Maswa (Maswa Game Reserve)

Hifadhi ya Maswa iko upande wa mashariki-magharibi mwa mpaka wa Buga ya Taifa ya Serengeti. Hifadhi ya Maswa in kimbilio la wanyama wa kati wa kiangazi kutoka Serengeti ilikujipatia maji yaliyo kwenye vilindi. Wanyama wa pori huhamia Maswa mnamo majira ya Januari na Februari ili kujipatia nyasi laini baada ya mvua za vuli. Mito ya Simiyu, Mbono, Semu, na Kuna huipendezesha hifadhi hii.

Located along the southwestern boundary of the Serengeti National Park, Maswa is a dry season refuge for many of the Serengeti animals seeking water in the springs and pools formed in the sand rivers in the area. The wildebeest migration passes through Maswa in January and February, feeding on the new growth of grass that appears after the short rains. The Simiyu, Mbono, Semu and Kuna rivers form the main drainage courses, and are lined with thorn thickets, yellow barked acacia and wild fig trees. Much of the land between the rivers is thorn scrub and acacia woodland, but in places it opens up to grassland. Maswa contains impressive populations of buffalo, Robert's gazelle, lion, roan, Cokes hartebeest, East African impala, Thomson gazelle and leopard.

IJUE WILAYA YA MASWA

Wilaya ya Maswa (Maswa District)

Wilaya ya ya Maswa ni miongoni mwa wilaya nane za mkoa wa Shinyanga Tanzania. Upande wa kaskazini wilaya ya Maswa imepakana na wilaya ya Bariadi, upande wa mashariki wilaya ya Meatu, upande wa kusini tuimepakana na wilaya ya Kishapu na upande wa magharibi imepakana na mkoa wa Mwanza.

Kwa mujibu wa Sensa ya taifa ya mwaka 2002, idadi ya watu wilayani Maswa inakadiriwa kufikia 304,402.

(Maswa District is one of the eight districts of the Shinyanga Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Bariadi District, to the east by the Meatu District, to the south by the Kishapu District and to the west by the Mwanza Region.
According to the 2002 Tanzanian National Census, the population of Maswa District is 304,402.)

Kata (Wards)
Wilaya ya maswa kiutawala imegawanywa katika kata 18; kama fiuatavyo:
:Maswa district is administratively divided into 18 wards:)
Badi, Buchambi, Budekwa, Busilili, Dakama, Ipililo, Isanga, Kadoto, Kulimi, Lalango, Malampaka, Masela, Mpindo, Nguliguli, Nyabubinza, Nyalikungu, Shishiyu, Sukuma.

Friday, August 28, 2009

The Vision of Tomorrow

It is important to let every young people in Maswa to shape the vision of tomorrow. One great purpose that we all know it is the promise to our hearts, our children and brethrens. The vision that will enhance the cooperation towards one purpose, and fightinf for something and not against somebody. It should be the source of our competence into bringing this common ground play that, in cooperation with our society, will enable the creation of a vision of common good as part of SOCIAL DICUSSION, GAINING gaining support for the envisioned vision, and taking the responsibility, all together, to implement the vision that we all know will give the promised future.